
KIKUNDI CHA TEAM MARCH CHATOA VIFAA KWA WATOTO NJITI NA AKINA MAMA WALIOJIFUNGUA SHINYANGA
Team March wakimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya mradi wa ushonaji kofia, masweta, na soksi kwa akina mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali hiyo Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Kikundi…