
Tanzania, Cameroon patachimbika Morocco | Mwanaspoti
TIMU ya taifa ya wanawake ya Futsal, leo Jumatatu itashuka Uwanja wa Sportif Prince Moulay Abdallah, huko Morocco kukipiga dhidi ya Cameroon katika mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya mchezo huo kuwania Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake. Tanzania ilitinga nusu fainali kwa kumaliza kinara wa Kundi C baada ya mechi mbili kuvuna…