
Kuna Maisha Baada Ya Kutendwa Soma Hapa Ujinasue! – Global Publishers
Last updated Apr 27, 2025 MARA nyingi inapotokea umejeruhiwa penzini hususan kwa mtu ambaye ulikuwa na malengo naye ni vigumu sana kupenda tena. Ni vigumu sana kumuamini tena mtu wa jinsia tofauti na yako. Wakati mwingine unaamini mtu wa jinsia ya tofauti na yako ni kama muuaji, ni mtu asiyestahili kuwa karibu yako. Ndugu…