Ajira za TRA ‘zatema’ 74,383 usaili wa awali

Dar es Salaam. Jumla ya watu 74,383 kati ya 80,888 waliofanya usaili wa awali kuomba nafasi za kazi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wamekosa sifa ya kuendelea hatua inayofuata. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TRA Aprili 26, 2025, waliochaguliwa kuendelea hatua na inayofuata ni 6,505 ambao sasa watafanya usaili kwa njia ya kuandika. Idadi…

Read More

KONGAMANO LA KWANZA KUTAMBUA MCHANGO WA KISWAHILI KATIKA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA LAFANYIKA NABIMIA

Na Mwandishi Wetu UBALOZI wa Tanzania nchini Namibia kwa kushirikiana na Chuo cha Triumphant wameandaa Kongamano la Kwanza la Kiswahili lililozungumzia mchango wa lugha ya Kiswahili katika harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika hususan Namibia. Mgeni Rasmi katika Kongamano hilo lililofanyika Aprili 25, 2025 alikuwa Lt.Gen.(Rtd) Epaphras Denga Ndaitwah, Mwenza wa Rais…

Read More

Shule 117 zamwagiwa mipira ya Sh 35 Milioni

SHULE 117 za Sekondari mkoani Lindi, zimemwagiwa msaada wa mipira 585 ya michezo mbalimbali yenye thamani ya Sh35 milioni kwa ajili ya kukuza vipaji vya netiboli, soka, wavu na mpira wa mikono katika shule hizo na mkoa mzima. Msaada kwa shule hizo umetolewa na Shirika la Sports Development Aid ikiwamo 170 ya mpira wa miguu,…

Read More

Maaskofu Katoliki: Wanaotaka mabadiliko sheria za uchaguzi wasikilizwe, wasipuuzwe

Iringa/Dar. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa uchaguzi kusikiliza sauti za wanaotaka mabadiliko ya Katiba na sheria, ili kuruhusu uchaguzi mkuu kufanyika kwa haki na usawa. Maaskofu hao wamehoji kwa nini kauli za viongozi mbalimbali juu ya hakikisho la kufanyika uchaguzi kuwa huru na haki kutofuatwa wakisema: “Vilio vya…

Read More

Junguni United yafunga mjadala wa iliyowatimua

SIKU tatu tu tangu Junguni United iliyopo Ligi Kuu ya Zanzibar kutangaza kuwafukuza wachezaji saba kwa tuhuma za kubeti na wachezaji hao kujibu mapigo kupitia kampuni ya uwakili ilitaka waombwe radhi ndani ya siku 14 na kulipwa fidia ya Sh300 milioni, klabu hiyo imesema imefunga mjadala huo. Junguni inayoshika nafasi ya 12 katika msimamo wa…

Read More