
Kaseja ana kibarua cha 2015-2016
KOCHA wa Kagera Sugar, Juma Kaseja kwa sasa presha inazidi kupanda kutokana na nafasi iliyopo timu hiyo inayopambana na kutoshuka daraja, ingawa ikiwa atainusuru kupitia mechi tatu zilizobakia inaweza kujirudia rekodi ya msimu wa 2015-2016. Kagera kwa sasa inashika nafasi ya 15 ikiwa na pointi 22, baada ya kucheza mechi 27, nyuma ya Tanzania Prisons…