
Wanawake 100 kupelekwa China kujifunza ujasiriamali, uzalishaji
Mwanza. Wanawake 100 nchini wanatarajiwa kupelekwa China kwenda kujifunza teknolojia ya uzalishaji, ujasiriamali, masoko, namna ya kutangaza bidhaa na kuinua mitaji ya biashara zao. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Malkia wa Nguvu, Lilian Masuka wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo za Malkia wa Nguvu, mkoani Mwanza usiku wa kuamkia leo Jumapili…