Vijana wanaopenda ‘mashangazi’ kuna ujumbe wenu hapa

‎Iringa. Vijana mkoani hapa wametakiwa kuachana na tabia ya kutegemea mahusiano ya kimapenzi kama njia ya kupata unafuu wa maisha kwa wanaume kuwapenda wanawake wenye umri mkubwa zaidi yao, huku wanawake kupenda wanaume watu wazima. ‎Wito huo umetolewa leo Aprili 30, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Zainab Abdallah ambaye ndiye aliyekuwa…

Read More

VITUO VYA GESI ASILIA NCHINI SASA NI TISA

          ::::::::  Hadi Aprili, 2025 jumla ya vituo 9 vya CNG vimekamilika na vinatoa huduma, ikilinganishwa na vituo viwili (2) mwaka 2020/21.  Mwelekeo wa Serikali ni kuwa na vituo 7620 ifikapo Juni, 2026.  Aidha EWURA iliendelea kusimamia shughuli za udhibiti katika mkondo wa kati na chini wa gesi asilia kwa kufanya…

Read More

SMZ yapokea vifaa vya Sh1.9 bilioni vya kuhifadhia taka

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imepokea vifaa vya kuhifadhi na kusafirishia taka ngumu vyenye thamani ya Sh1.9billioni kupitia mradi wa Ukuzaji Uchumi Jumuishi (BIG Z) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Vifaa ambavyo vimekabidhiwa ni gari za kubebea taka, vikapu na makontena ya kuhifadhia, ambapo hizo ni juhudi za kuimarisha usafi kisiwani hapa.  Akizungumza…

Read More

Rais Samia atoa neno ushirikishwaji sekta binafsi bandarini, mapato yakiongezeka

Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi katika uendeshaji wa bandari na miundombinu mingine umechangia mafanikio makubwa nchini, ikiwemo ongezeko la mapato. Amesema kati ya Julai hadi Februari mwaka 2024/25, mapato ya bandari na ushuru wa forodha yamefikia Sh8.26 trilioni, ikilinganishwa na Sh7.08 trilioni mwaka 2023/24. Aidha, gharama za uendeshaji wa Bandari…

Read More

Mfanyabiashara kortini akidaiwa kutakatisha Sh10 bilioni

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Bushra Ali amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka 13, yakiwemo kughushi nyaraka, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha fedha kiasi cha dola za Kimarekani milioni 4.6 (zaidi ya Sh10 bilioni). Ali, amefikishwa katika mahakamani hapo leo, Aprili 30, 2025 na kusomewa kesi ya uhujumu uchumi…

Read More