
AJALI PRECISION AIR BUKOBA: Abiria wadai fidia ya Sh7.2 bilioni
Dar es Salaam. Abiria wawili kati ya 39 waliokuwamo ndani ya ndege ya Precision Air iliyopata ajali mjini Bukoba, Mkoa wa Kagera na kuua watu 19, wamefungua kesi ya madai wakidai fidia ya zaidi ya Sh7.2 bilioni kutokana na madhara ya kiafya na kiuchumi waliyoyapata. Katika ajali hiyo iliyotokea Novemba 6, 2022, ndege hiyo iliyokuwa…