
Athari za mzazi kupuuza kipaji cha mwanawe
Katika jamii nyingi, wazazi huwa na matarajio makubwa juu ya maisha ya watoto wao. Ni jambo la kawaida mzazi kutamani mtoto wake awe daktari, mwanasheria, au mhandisi, bila kujali kama mtoto huyo ana kipaji au mapenzi ya dhati kwa taaluma hizo. Hali hii imekuwa chanzo cha migogoro ya ndani kwa watoto wengi, na mara nyingi…