WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI*
………… Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Youichi Mikami Ofisi kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma Aprili 26, 2025
………… Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Youichi Mikami Ofisi kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma Aprili 26, 2025
Vatican. Safari ya maisha ya duniani ya Papa Francis ilihitimishwa saa 7:30 mchana (saa 8:30 mchana saa za Afrika Mashariki na Kati) leo Aprili 26, 2025 baada ya mwili wake kuzikwa kwenye Kanisa kuu la Bikira Maria Mkuu, mjini Roma, Italia. Ibada ya mazishi ilianza saa 7:00 mchana (saa 8:00 mchana) ikiongozwa na Camerlengo, mbele…
Jackpot City Casino, moja ya chapa maarufu duniani za michezo ya kasino mtandaoni, sasa imezinduliwa rasmi Tanzania. Ikiwa na kauli mbiu ya Ushindi Mkubwa, Rahisi, Wa Haraka. Jackpot City inaleta uzoefu wa kipekee wa michezo ya kubahatisha kwa Watanzania, burudani inayokwenda sambamba na kuota na kutimiza ndoto kubwa. Jambo kubwa linalofanya Jackpot City Casino iwe tofauti ni…
Malinyi. Hali imeendelea kuwa tete kutokana na kukatika kwa barabara ya Ifakara-Malinyi na wananchi wanaotegemea barabara hiyo wameanza kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha. Hali hiyo imekuja kufuatia mvua kuharibu barabara hiyo na kukata mawasiliano baina ya pande hizo mbili, hivyo kuongeza gharama za usafiri. Leo ikiwa ni siku ya tano tangu barabara hiyo iharibike,…
Last updated Apr 26, 2025 Je, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna furaha inakusubiri kupitia droo moja tu ya ushindi. Taarifa za Msingi 420 Blaze It ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma 1×2…
Arusha. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, katika ziara ya siku nne mkoani Arusha pamoja na mambo mengine, amesisitiza amani, akitaka wananchi kutokugawanywa kwa itikadi za dini wala za siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2025. Dk Biteko aliwasili Arusha Aprili 22, 2025, ambako alikagua miradi ya maendeleo ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya…
Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC Nah.Mussa Mandia akimkabidhi zawadi ya TASAC Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera Erasto Sima wakati wa Bodi hiyo ilipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika ziara ya Bodi mkoani humo. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera Erasto Sima akitoa taarifa kwa Bodi ya TASAC ilipotembelea ofisi hiyo kwa ziara ya…
Dar es Salaam. Katika kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan, amezindua kitabu cha Safari ya Mwalimu Nyerere huku Serikali ikieleza ipo mbioni kuandaa vitabu vingine vya aina hiyo kumuhusu Amani Abeid Karume, ambaye ni Rais wa Kwanza wa Zanzibar. Mbali na hilo ametunuku nishani za Muungano kama ishara…
Dkt. Ester Kibga, mkufunzi wa Chuo cha Aga Khan akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. KUTOKANA na juhudi za muda mrefu za Chuo cha Aga Khan kuhamasisha masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM), chuo hicho kwa sasa kinatoa mafunzo kwa walimu wa shule za msingi na sekondari za serikali na…
Papa Francis amezikwa rasmi katika korido ya upande wa Basilika ya Mtakatifu Maria Mkuu, kati ya Kanisa Kuu la Pauline, ambako kuna alama aliyopenda ya Bikira Maria ‘Salus Populi Romani’, na Kanisa Kuu la Sforza. Ibada ya mazishi ya Papa ilitanguliwa na uimbaji wa zaburi nne na kuambatana na maombezi matano, kisha…