Taoussi awapa angalizo mastaa Azam FC
BAO la Lusajo Mwaikenda dakika ya 63, limetosha kuipeleka Azam FC hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Muungano inayoendelea visiwani Pemba, baada ya kuifunga KMKM 1-0, huku Kocha Mkuu, Rachid Taoussi akiwapa onyo mastaa wa kikosi hicho. Akizungumza baada ya ushindi huo, Taoussi alisema wachezaji wanatakiwa kucheza kwa nidhamu ya hali ya…