ALII, HakiElimu kuwanoa vijana kwenye uongozi
Dar es Salaam. Katika kukabiliana na changamoto ya vijana kujitenga na masuala ya siasa na uongozi, umezinduliwa mpango wa kukuza uongozi kwa vijana kwa lengo la kulea kizazi kipya cha viongozi wenye mabadiliko kuanzia ngazi ya jamii. Lengo kuu la mpango huo uliozinduliwa jana, Aprili 25, 2025, ni kukabiliana na changamoto zinazozidi kuongezeka kama vile…