MUUNGANO WA TANZANIA UTALINDWA KWA NGUVU ZOTE
******* Na Mwandishi Maalum , Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Amani, Usalama na Utulivu wa Tanzania kwa miaka 61 , umetokana na misuli ya Ulinzi chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania . Pia kimewataka Wananchi kupuuza maadai ya upinzani yanayoelezwa kuwa Zanzibar itakawia kupata maendeleo kwa kukosa Mamlaka kamili. Matamshi hayo yametamkwa…