TIRA YASHIRIKI MAAFALI YA 41 KIDATO CHA SITA JAGWANI

::::::: Katikati ya jiji la Dar es Salaam eneo la Jangwani karibu na soko maarufu la Kariakoo inapatikana moja kati ya shule kongwe Tanzania iliyoanzishwa Mei 28, 1928, Shule ya Sekondari ya wasichana Jangwani. Aprili 24, 2025 yamefanyika mahafali ya 41 ya kidato cha sita ambapo Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania ilipata heshima ya…

Read More

Chadema yaivaa Polisi, Heche atoa msimamo

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakirudi nyuma katika mapambano ya kudai haki, licha ya viongozi na makada wake kukumbwa na kadhia walipokwenda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Chama hicho kimedai miongoni mwa kadhia walizokumbana nazo juzi ni viongozi na makada wao…

Read More

Wazee Zanzibar wasimulia hali halisi ya Muungano

Unguja. Katika kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wazee wa kisiwani Unguja wanasema matunda ya muungano huo ni makubwa na yenye manufaa kwa wananchi, hivyo wanapaswa kuulinda kwa juhudi na nguvu zote. Tanzania ilizaliwa Aprili 26, 1964, baada ya viongozi wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere wa Tanganyika na Sheikh Abeid Amani…

Read More

Sifael alivyofuta enzi ya wachanganya udongo

Dar es Salaam. Sifael Shuma (92), ambaye alikuwa mmoja wa vijana wanne waliokuwa sehemu ya tukio la kihistoria la kuchanganya udongo wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, alifariki dunia Februari 20, 2025 na hivyo kuwa wa mwisho kati ya washiriki hao kuaga dunia. Katika uhai wake, Shuma alitamani kuona muundo wa Muungano…

Read More

Muungano: Siku 22,280 za majaribu, mikasa na ushindi

Leo, Aprili 26, 2025, imetimia miaka 61 tangu Tanganyika na Zanzibar ziungane kupata dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambayo kuanzia Desemba 1964 ilianza kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mzunguko wa Kalenda ya Gregory, ambayo inatumika Tanzania na sehemu kubwa ya ulimwengu, mwaka mmoja una siku 365, halafu kila baada ya…

Read More