Samia: 4R zisiwe kigezo kuvunja sheria

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutekelezwa falsafa ya 4R kunakwenda sambamba na kuzingatiwa kwa Katiba na sheria za nchi, kamwe haiwezi kuwa kisingizio cha kuvunja sheria au kujenga mazingira yanayohatarisha amani, usalama na utulivu wa nchi. Amesema hayo leo Ijumaa Aprili 25, 2025 alipohutubia Taifa katika maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano…

Read More

KIONGOZI CHADEMA AINANGA KAULI MBIU YA KUPINGA UCHAGUZI, AKISEMA CHAMA CHA HARAKATI KINAJIANDAA KUFA KISIASA

::::::: Kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokea Tarime, mkoani Mara, Mohania Joseph Peter, amekianga chama hicho, akisema ni cha kiharakati na hakiwezi kufanya siasa. Ndugu Mohania, ambaye amewahi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho ngazi ya mkoa, katika Baraza la Vijana wa Chama hicho (Bavicha), kabla ya kuwa msaidizi katika ofisi…

Read More

Bilioni 36/= kunufaisha wakulima 5,000 kwa umwagiliaji Nzega

…………. 📍NIRC:Nzega, Tabora.* Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imekabidhi awamu ya tatu ya utekelezaji wa Mradi wa Umwagiliaji wa Skimu ya Idudumo, wenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 36, kwa Mkandarasi Kampuni ya Mkwawa Logistics and Construction Limited. Mradi wa Idudumo unalenga kuongeza eneo la umwagiliaji kutoka hekta 300 hadi hekta 1,550 ambao…

Read More

Dk Nchimbi akerwa na kauli za chuki kwa upinzani

Dar es Salaam. Kauli na nyimbo mbaya kwa upinzani, za kibaguzi na matendo yenye taswira yanayoweza kutafsiriwa kuwa ni kushabikia ukandamizaji wa haki za wananchi zimeendelea kumkera Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi. Ikiwa ni kwa mara ya tatu, jana Dk Nchimbi akiwa Shirati wilayani Tarime akiendelea na ziara ya siku…

Read More

MUHAS YAADHIMISHA WIKI YA UBUNIFU

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu Idara inayohusu Sayansi na Teknolojia imetengeneza mwongozo wa matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika Taasisi zake za Elimu ya Juu ili iweze kuleta manufaa kwa watu wote. Imesema hakuna namna ya kusema kuzuia, badala yake wanatengeneza utaratibu wa kuhakikisha inatumika vizuri. Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Prof. Peter Msofe amesema…

Read More

Serikali Kutoa Bil. 18 Kujenga Madaraja Kukomesha Tatizo la kukatika kwa Mawasiliano Malinyi

Na FARIDA MANGUBE, MOROGORO Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Abdallah Ulega, ametembelea na kukagua barabara ya Malinyi mkoani Morogoro ambayo imeharibika kutokana na maji ya Mto Furuwa kuvunja kingo na kupita juu ya barabara, hali iliyosababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya kijiji cha Misegese na Malinyi mjini. Ziara hiyo ya siku moja imefanyika kufuatia malalamiko ya…

Read More