
Athari za shisha, kubashiri zaishtua Serikali, sheria zake kupitiwa upya
Dodoma. Kuongezeka kwa wimbi la matumizi ya shisha na michezo ya kubashiri maarufu ‘kubeti’ kwa vijana kumeistua Serikali na kuanza kupitia upya kwa baadhi ya sheria. Mbali na hilo, kutokana na wingi wa talaka Serikali imetoa wito kwa viongozi waliopewa dhamana ya kufungisha ndoa, wazazi na walezi kuendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa. Hayo…