Kardinali Pengo anavyomkumbuka Papa Francis

Mwanza. Wakati mwili wa Papa Francis (88) ukitarajiwa kuzikwa kesho Jumamosi, Aprili 26, 2025, Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo, ameeleza namna anavyomkumbuka. Papa Francis, aliyezaliwa Desemba 17, 1936 nchini Argentina, alifariki dunia Aprili 21, 2025 akiwa katika makazi yake kwenye nyumba ya Mtakatifu Marta, Vatican. Machi…

Read More

NEMC IPEWE MENO YA KUFANYA MAAMUZI YASIYOINGILIWA .

Ni kauli yake Mhe. Kasalali Emmanuel Mageni Mbunge wa Jimbo la Sumve Mkoa wa Mwanza, alipokuwa akichangia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusph Masauni (Mb) aliyoiwasilisha leo kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/2025 na makadirio ya mapato na matumizi…

Read More

AI isitumike kudhoofisha uhuru wa vyombo vya habari

Dar es Salaam. Vyombo vya habari vimetakiwa kuwa makini na kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI) kwa ajili ya manufaa ya wananchi. Wito huo umetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo, Rodney Mbuya alipokuwa akizungumzia maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo ya Habari yanayotarajiwa kuadhimishwa Aprili 29, 2025. Maadhimisho hayo kitaifa yanatarajiwa kufanyika jijini…

Read More

Biteko: Tudumishe Muungano | Mwananchi

Arumeru. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka wananchi kuendelea kudumisha na kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kudumisha mshikamano na amani kwa maslahi mapana ya Taifa ili kuendelea kutekeleza malengo ya waasisi wa Muungano. Dk Biteko ameyasema hayo leo ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake mkoani Arusha,…

Read More

Baba jela miaka 30 kwa kumpa ujauzito binti yake

Simiyu. Daud Mabele (38), mkazi wa Kijiji cha Kakola, Kata ya Shishiyu wilayani Maswa, mkoani Simiyu amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuingilia kimwili na kumpa ujauzito binti yake wa kumzaa. Mabele pia ameamriwa kumlipa binti yake (14) fidia ya Sh200,000. Hukumu imetolewa jana Alhamisi Aprili 24, 2025…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA AFYA

………………… Dkt. Biteko atambelea Hospitali ya Wilaya ya Meru Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali imeahidi kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini katika ngazi zote ili kuboresha huduma za Afya kwa Watanzania. Hayo yamesemwa Aprili, 25, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa…

Read More