Waliofukuzwa Junguni kwa tuhuma za kubeti, wageuza kibao
Saa chache tangu uongozi wa timu ya Junguni United iliyopo Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutangaza kuwafukuza wachezaji saba kwa tuhuma za kujihusisha kubeti, wachezaji wameugeuzia kibao klabu hiyo wakitoa siku 14 kuombwa radhi na kulipwa fidia ya Sh300 milioni. Wachezaji hao wametoa msimamo huo kupitia taarifa ilitolewa na mawakili wanaowasimamia. Pia, taarifa hiyo imesema wateja…