Mwinyi: Amani ni msingi mkuu maendeleo sekta ya miundombinu

Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema amani ya Tanzania ndiyo msingi mkuu wa maendeleo yatakayopatikana katika sekta mbalimbali ikiwemo ya miundombinu. Dk Mwinyi ameeleza hayo leo, Ijumaa Aprili 25, 2025, wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Kibada–Mwasonga–Kimbiji kwa kiwango cha lami. Uwekaji wa jiwe la msingi katika…

Read More

MAANDALIZI YA TAMASHA LA “TWEN’ZETU KWA YESU” 2025 YAANZA RASMI, KUTAFANYIKA MARA MBILI JIJINI DAR

Maandalizi ya Tamasha kubwa la kiroho la “Twen’zetu kwa Yesu” yameanza rasmi kwa mwaka huu wa 2025, huku likitarajiwa kufanyika mara mbili tofauti kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake mwaka 2014. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu KKKT-DMP, CPA Goodluck Nkin, amesema kuwa , tamasha la kwanza litafanyika…

Read More

David Ouma afunguka Singida BS kupotezea Muungano

BAADA ya kuaga mapema michuano ya Kombe la Muungano inayofanyika Pemba, Zanzibar, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji kusahau kilichopita na kuelekeza macho kwenye ligi na Kombe la F, ambako bado wanayo nafasi. Singida ilitupwa nje ya mashindano hayo na mabingwa wa Zanzibar, JKU kwa penalti 6-5 baada ya dakika 90 kumalizika…

Read More

Mapato ya uvuvi yaongezeka Ziwa Tanganyika

Dodoma. Baada ya kuzuiwa kwa muda uvuvi katika Ziwa Tanganyika, Serikali imesema mavuno ya samaki yameongezeka na kufikia tani 38,999.82 katika kipindi cha miezi minne baada ya kufunguliwa, hivyo kuingiza Sh324.85 bilioni. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema hayo bungeni leo Ijumaa Aprili 25, 2025 alipojibu swali la Mbunge wa Nkasi Kaskazini,…

Read More

Mtanzania Dk Mwapinga achaguliwa Katibu Mkuu FP-ICGLR

Luanda, Angola. Kuimarika kwa diplomasia ya Tanzania na ushirikiano wa kikanda, Mtanzania Dk Deo Mwapinga ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Kanda ya Maziwa Makuu (FP-ICGLR). Uteuzi wake umefanyika baada ya kuungwa mkono kwa kauli moja na Maspika wa Mabunge ya Kitaifa ya nchi…

Read More

Pombe inavyogharimu maisha ya watu Rukwa

Rukwa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limeanzisha kampeni maalumu ya unywaji pombe salama ili kuepuka madhara yatokanayo na unywaji usiozingatia afya. Akizungumza leo Ijumaa, Aprili 25, 2025 katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na jeshi hilo katika Kata ya Chanji, Manispaa ya Sumbawanga, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Shadrack Masija amesema watu 32 wamepoteza…

Read More

Trump acharuka, amtaka Putin kusitisha mashambulizi Ukraine

Washington. Rais wa Marekani, Donald Trump amemkosoa vikali Rais wa Russia, Vladimir Putin huku akimtaka kusitisha mashambulizi dhidi ya Ukraine. Aprili 24, 2025, Rais Trump kupitia mtandao wa Truth Social aliandika: “Rais Vladimir Putin, sifurahishwi na unachokifanya. Ukome kuishambulia Ukraine.” Baadaye, akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu…

Read More

Mvua yakata barabara Malinyi, wananchi wakosa mawasiliano

Malinyi. Ni siku ya tatu sasa wananchi wa Malinyi hawana mawasiliano na maeneo mengine ya wilaya kutokana na karavati linalounganisha barabara ya Malinyi na mji wa Ifakara wilayani Kilombero, kusombwa na maji. Hali hiyo inatokana na mvua kubwa zinazoendelea na kuharibu miundimbinu ya barabara, ambapo kwa siku ya tatu sasa barabara hiyo haipitiki, huku wananchi…

Read More