Hizi hapa sababu Mtanzania kushindwa kumiliki nyumba
Dar es Salaam. Kukosekana kwa sera ya nyumba, mikakati na gharama kubwa za ujenzi ni miongoni mwa sababu zinazowafanya Watanzania wengi wakiwemo vijana kushindwa kumiliki nyumba bora na salama. Hayo yamebainishwa kwenye utafiti wa ‘Ukuaji wa Nyumba katika miji ya Afrika jinsi ya kujenga makazi kunavyoendesha ukuaji wa miji na uchumi’ uliofanywa nchini Tanzania na…