Vifukuza mbu hivi ni salama?
Leo ni siku ya kimataifa ya Malaria Duniani, chini ya mwavuli wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Siku hii huadhimishwa Aprili 25 ya kila mwaka. Kaulimbiu ya mwaka huu 2025 inasema “Tuimalize Malaria; Wazia tena, Wekeza tena, Anzisha tena”. Takwimu za WHO zinaonyesha kuwa kila baada ya dakika moja, kifo kimoja hutokea duniani kwasababu ya…