‘Vifaa vya maabara Shule ya Longido Samia vifungwe’
Longido. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kufungwa kwa vifaa vya maabara ya kemia na baiolojia katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Longido Samia ili wanafunzi waanze mafunzo kwa vitendo, sambamba na lengo la Serikali la kuimarisha elimu kwa kujenga maabara na kukuza uzalishaji wa wanasayansi. Dk Biteko ametoa…