MAADHIMISHO YA SIKU YA TIBA YA MIFUGO DUNIANI KUFANYIKA MKOANI MANYARA
Chama cha Madaktari wa Mifugo Tanzania (TVA) kimeandaa Maadhimisho ya Siku ya Tiba ya Mifugo Duniani kwa mwaka 2025, ambayo yatafanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 24 hadi 26 Aprili katika mkoa wa Manyara. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa TVA, Prof. Esron Karimuribo, kilele cha maadhimisho hayo kimepangwa kufanyika Jumamosi, tarehe 26 Aprili 2025, katika…