Refa Stellenbosch, Simba abadilishwa ghafla

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya ghafla ya refa wa mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Stellenbosch na Simba itakayochezwa Jumapili, Aprili 25, 2025. Awali refa aliyepangwa kuchezesha mechi hiyo alikuwa ni Amin Omar kutoka Misri na sasa timu hizo zitachezeshwa na  Mohamed Maarouf…

Read More

PPAA ilivyozuia zabuni 36 kwa kukosa vigezo

Dar es Salaam. Katika kipindi cha miaka minne kuanzia Machi 2021/25, Serikali ilizuia utoaji tuzo za zabuni 36 kwa wazabuni wasio na vigezo ikiwemo uwezo wa kifedha pamoja na sifa za kutekeleza miradi husika. Hatua hiyo, kwa mujibu wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA), imewezesha kukoa utekelezaji usioridhisha wa miradi ya maendeleo…

Read More

Simbu arejea nchini, ataja siri ya kung’ara Boston Marathon

Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu, leo Aprili 24, 2025 amerejea nchini akitokea Marekani alikokwenda kushiriki mbio za Boston Marathon huku akisema siri ya kufanya vizuri imetokana na jitihada kubwa ambazo amekuwa akifanya kwa kushirikiana na wenzake kwenye mazoezi lakini pia kufuata maelekezo ya mwalimu. Mbio hizo zilifanyika April 21, 2025 jijini Boston ambapo…

Read More

‘Wimbo’ wa Bagamoyo umefungwa, kazi inaendelea

Dodoma. Wakati Serikali ikitaja vipaumbele katika bajeti yam waka wa fedha  2025/26 kwa Wizara ya Mipango na Uwekezaji, kitendawili cha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hatimaye kimefika mwisho. Moja ya vipaumbele katika bajeti ya 2025/26 ni kuzindua na kutangaza mradi wa Bagamoyo SEZ kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kwa nia ya kuendeleza…

Read More

Wadau Watoa Maoni Kuhusu Bajeti ya Tamisemi 2025/26

 Bajeti ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa mwaka wa fedha 2025/26 imesomwa bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, Dkt. Mohamed Mchengerwa, ambapo jumla ya kiasi cha shilingi trilioni 11.783 kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za wizara hiyo na taasisi zake. Hii ni ongezeko kutoka…

Read More