
Shujaa wa Kiswahili, Profesa Martha Qorro, afariki dunia
Dar es Salaam. Pigo limeikumba tasnia ya lugha ya Kiswahili kufuatia kifo cha mwanazuoni, Profesa Martha Qorro, kilichotokea leo Jumatano, Aprili 30, 2025. Profesa Martha amewahi kuhudumu kama Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita), Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la HakiElimu na anatajwa miongoni mwa wanazuoni waliopigania Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia. Uthibitisho…