KAMANDA SENGA AKAGUA MRADI WA KITUO CHA POLISI NGWALA – SONGWE.
Na Issa Mwadangala Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga akiwa ameambatana na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Maria Kway pamoja na wafanyakazi waandamizi wa Kampuni ya Uchimbaji Madini Mamba Bi.Mary Dancan na Chediel Mshana ambao ni mameneja wa Mgodi huo Aprili…