Maelfu wauaga mwili wa Papa Francis

Vatican. Umati wa waamini umeendelea kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Papa Francis kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, shughuli inayoendelea hadi kesho Ijumaa Aprili 25, 2025 saa 2:00 usiku (saa za Afrika Mashariki na Kati). Inaelezwa hadi kufikia saa 3:30 asubuhi ya leo Alhamisi Aprili 24, watu 48,600 wameshatoa heshima zao…

Read More

DCEA YAZUIA TANI 14 ZA KEMIKALI BASHIRIFU

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, wamefanikiwa kuzuia tani 14 za kemikali bashirifu zilizokuwa ziingizwe nchini kinyume cha sheria. DCEA imefanikiwa zoezi hilo wakati wakifanya operesheni katika mikoa ya Dar es Salaam, Shinyanga, Tabora, Tanga, Songwe, Mbeya na Arusha…

Read More

Wafanyabiashara wa dagaa waiangukia Serikali

Unguja. Wafanyabiashara wa dagaa kisiwani hapa wameiomba Serikali kuwasaidia kwa kuwapatia vifaa maalumu vya kuanikia, ili kuhakikisha bidhaa hiyo inakuwa na ubora unaokidhi viwango vya soko. Wakizungumza leo Aprili 24, 2025 na Mwananchi Digital katika eneo la Fungu Refu, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wamesema takriban wajasiriamali 3,000 huendesha shughuli za uanikaji wa dagaa katika eneo….

Read More

DKT. NATU MWAMBA ATETA NA TIMU YA BENKI YA DUNIA

Na. Joseph Mahumi, WF, Washington Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Benki ya Dunia Tanzania, ikiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Bw. Nathan Belete, kuhusu Ushirikiano wa Maendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo hususan Utekelezaji wa miradi inayotekelezwa nchini, pamoja…

Read More

TUME HURU YAFIKA CHATO KUPATA MAONI YA KUGAWANYWA JIMBO

Mjumbe wa INEC Jaji wa mahakama kuu Asina Omari,akizungumza na wadau wilayani Chato …………………….. Na Daniel Limbe,Chato TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imefika wilayani Chato mkoani Geita kwa lengo la kujiridhisha iwapo vigezo vilivyowekwa na Tume hiyo katika majimbo yanayoomba kugawanywa vimezingatiwa ikiwa ni pamoja na ushirikishwaji wa wananchi. Aidha ziara hiyo siyo kigezo…

Read More