Serikali yashtuka, yaonya ujenzi holela maeneo hatarishi

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuanza utekelezaji wa hatua madhubuti za mageuzi katika kukabiliana na maafa, kwa lengo la kuimarisha mifumo ya utoaji na upokeaji wa taarifa. Imesema huo ni sehemu ya mkakati wa kudhibiti changamoto za mara kwa mara kama mafuriko na utiririshaji wa maji machafu kuelekea baharini. Waziri Hamza ameyasema…

Read More

WASIRA:TUMEWEZA KUKAA MIAKA 61 BILA KUWA NA MATATIZO YA KIJESHI,MAPINDUZI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV -Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Stephen Wasira amesema nchi ya Tanzania inaweza kusimama kifua mbele katika miaka 61 imekaa bila kuwa na matatizo ya kijeshi,bila mapinduzi. Amesema majeshi yetu yalikuwa hayawezi kubaguana kwa kuwa wote walijiona ni wamoja ndio maana tukaanzisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania huku akieleza…

Read More

Pesa Kubwa Ipo Meridianbet Leo

WAKALI wa ubashiri Tanzania leo hii Meridianbet wanakwambia hivi nafasi ya wewe kushinda zaidi ya mamilioni ipo hapa. Mechi kibao za ushindi zipo hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubeti hapa. LALIGA pale Hispania leo hii itaendelea ambapo Sevilla atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya CA Osasuna ambapo nafasi ya kushinda mechi hii akipewa mwenyeji kwa…

Read More

LISSU AGOMA KUSIKILIZA KESI YAKE KWA NJIA YA MTANDAO.

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amegoma kusomewa maelezo ya awali katika kesi kusambaza taarifa za uongo mtandaoni kwa njia ya mtandao ‘video conference’. kutokea katika Gereza la Ukonga alipo. Kesi hiyo imesikilizwa leo Aprili 24,2025 kwa njia ya mtandao ambapo Upande wa Jamhuri kupitia Wakili wa Serikali Mwandamizi, Job Mrema…

Read More

TEF YAWAPA POLE WAKATOLIKI KIFO CHA PAPA

………………. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, alifariki dunia siku ya Jumatatu, tarehe 21 Aprili 2025, akiwa na umri wa miaka 88. Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo Deodatus Balile imesema Katika kipindi cha miaka…

Read More

Fadlu mkeka umetiki, Orlando yamvutia kasi

UNAWEZA kusema ni kama mkeka wa Fadlu Davids umetiki kwani ubora aliouonesha hadi sasa ndani ya Simba, umewafanya Wasauzi wenzake, Orlando Pirates kuanza hesabu za kumrudisha kikosini kwao. Fadlu ambaye alitambulishwa ndani ya Simba Julai 5, 2024 akitokea Raja Casablanca ya Morocco akiwa kocha msaidizi, alipewa mkataba wa miaka miwili kuliongoza benchi la ufundi la…

Read More