Makardinali 103 waidhinisha ratiba maadhimisho ya ekaristi kwa ajili ya Papa
Vatican. Makardinali 103 jana jioni, Aprili 23, 2025 walishiriki mkutano mkuu wa pili katika ukumbi wa Sinodi, mjini Vatican na kuidhinisha ratiba ya Novendiali (yaani siku tisa) za maadhimisho ya ekaristi kwa ajili ya Papa Francis. Maadhimisho hayo yataanza na misa ya mazishi Aprili 26, 2025 na kuhitimishwa siku ya tisa ambayo ni Dominika ya…