Kombe la Muungano vita ya Bara, Visiwani

PAZIA la michuano ya Kombe la Muungano, linafunguliwa Alhamisi hii kwa mchezo mmoja wa robo fainali ambapo Singida Black Stars itaanza kampeni ya kusaka taji hilo dhidi ya JKU, saa 11:00 jioni. Singida ni kati ya timu nane zinazoshiriki mashindano hayo msimu huu, huku ikipata nafasi hiyo baada ya kikosi cha Simba kujitoa kutokana na…

Read More

Yanga yapiga hodi CAF, mipango yaanza

KATI ya mashirikisho 54 ya soka Afrika ambayo yanapeleka timu zao kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kila msimu, Tanzania tayari imepata mwakilishi wake mmoja, bado mwingine. Kwa mujibu wa CAF, mashirikisho yaliyopo kwenye orodha ya 12 bora kwa viwango, yanawakilishwa na klabu mbili kwenye Ligi ya Mabingwa. Kwa…

Read More

Ukatili wa kijinsia unaotumika kama silaha ya vita katika DR Kongo – maswala ya ulimwengu

Maafisa waandamizi wa UN walionya Jumatano Kwamba vyama vyote vinavyohusika katika mzozo huo vinatumia unyanyasaji wa kijinsia kama mbinu ya vita dhidi ya raia. Hali mbaya katika Mashariki Mashambulio ya kuongezeka kwa vikundi vya watu wasio na silaha katika DRC ya Mashariki yamesababisha kuongezeka kwa unyanyasaji wa kijinsia, kulenga wanawake na watoto. Waasi walioungwa mkono…

Read More