Gambo achutama, aomba radhi bungeni
Dodoma. Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo ameomba radhi Bunge na kufuta maneno aliyoyatoa dhidi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa. Gambo alimtuhumu bungeni, Waziri Mchengerwa kwamba amesema uongo wakati akitoa maelezo ya Serikali dhidi ya tuhuma ambazo mbunge huyo aliziibua bungeni. Aprili…