IAA, Misitu zaanza vyema nane bora RCL

Timu za IAA SC ya Arusha na Misitu ya Tanga zimeanza vyema michuano ya Ligi ya Mabingwa Mikoa (RCL), hatua ya nane bora baada ya kupata ushindi katika mechi za ufunguzi. Michuano hiyo ambayo inachezwa na vijana walio chini ya umri wa miaka 20 inashirikisha timu nane ambazo zilishika nafasi mbili za juu katika vituo…

Read More

Dk Biteko: Msikubali kugawanywa | Mwananchi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka wananchi kutogawanywa kwa itikadi ya dini wala siasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, ubunge na udiwani kwa manufaa ya Taifa. Dk Biteko amesema hayo leo Jumatano, Aprili 23, 2025, wilayani Monduli, mkoani Arusha, wakati akizungumza na wananchi kuelekea maadhimisho ya miaka…

Read More

Rais Samia: Bila sheria za wazi, haki haiwezi kupatikana

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema upatikanaji wa haki unatokana na sheria zilizo wazi, zinazofahamika na zinazoendana na wakati tuliopo. Amesema sheria ni kioo cha ustaarabu wa Taifa bila ya sheria zilizowekwa wazi, zinazofahamika na zinazoendana na wakati tulionao basi haki haiwezi kupatikana. Akinukuu maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius…

Read More

Mayanga atenga siku nane Mashujaa

MASHUJAA imebakiwa na dakika 360 za kibabe kumaliza msimu wa 2024/25, huku kocha wa timu hiyo, Salum Mayanga akisisitiza anataka kutumia siku naneĀ  kujipanga ili kuona wanatoboaje mbele ya Simba. Timu hiyo iliyopo nafasi ya 10 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 30 baada ya mechi 26, itaanza dakika 90 za kwanza…

Read More