
Robert Matano safari imewadia Fountain Gate?
INAELEZWA kwamba Kocha wa Fountain Gate, Robert Matano anaweza kutoendelea na timu hiyo kwa msimu ujao kutokana na kushindwa kuipa matokeo yaliyotarajiwa. Matano ambaye ameiongoza Fountain Gate kwenye mechi 11 za Ligi Kuu Bara, tangu Januari 10, mwaka huu alipochukua nafasi ya Mohammed Muya, amefanikiwa kushinda mbili za ugenini Ligi Kuu Bara ilipozichapa KMC 2-1…