MRADI WA UREKEBISHAJI SHERIA NI HATUA MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma pamoja na Mwakilishi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Joseph Kizito…