Gambo na Mchengerwa hapatoshi bungeni, Spika awapeleka kamati ya maadili
Dodoma. Sakata la ubadhilifu wa fedha zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo bado ngoma nzito na sasa limepelekwa kwenye Kamati ya Maadili, Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameagiza kamati ianze kufuatilia kuanzia leo Jumatano, Aprili 23, 2025 hadi wiki ijayo taarifa itolewe ndani ya Bunge….