Beki Stellenbosch auogopa mziki wa Mpanzu

MECHI ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Stellenbosch dhidi ya Simba itakayopigwa Aprili 27, 2025 kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban nchini Afrika Kusini, imeendelea kugusa hisia za mashabiki huku kukiwa na presha kubwa kambini kwa Stellenbosch. Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja,…

Read More

Yaliyojificha sakata la kipa Fountain Gate

Nyuma ya adhabu ya kusimamishwa kwa kipa John Noble wa Fountain Gate kuna sababu mbili kubwa ambazo zimefanya timu hiyo ambayo inatumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Babati, Manyara kuchukua uamuzi huo. Muda mfupi baada ya Fountain Gate kupoteza mchezo dhidi ya Yanga kwa mabao 4-0 juzi Jumatatu kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, uongozi wa timu…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Mdharau mwiba huota tende

Bwana au bibi harusi anayekosa dukuduku siku ya harusi yake, ujue hana mzuka nayo. Ni lazima bibi harusi akaribie kuzimia wakati anasubiri jibu la “ndiyo ninakubali” kutoka kwa mumewe mtarajiwa. Kadhalika mwanamume ni lazima akumbwe na hali hiyo pale bi harusi anapovuta pumzi kabla ya kutoa jibu lake mwanana. Jibu hili ndiyo hatima ya ndoa…

Read More

Vigingi vitano wabunge wanaotetea nafasi zao

Dar es Salaam. Vikao vya kuhitimisha uhai wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vinatarajiwa kutamatika Juni 27, 2025. Katika kipindi hiki, wabunge wanaotarajia kutetea nafasi zao wanakabiliwa na mitihani mitano mikubwa, ikiwemo kujenga ushawishi miongoni mwa wajumbe wa vyama vyao ili kulinda kura walizovuna mwaka 2020 na kuongeza mpya. Changamoto nyingine…

Read More

FYATU MFYATUZI: Uchakachuaji, sorry, uchaguzi, acha mafyatu waamue

Kila fyatu anajua. Kuna mnyukano na mtanange usio ulazima baina ya mafyatu wanaotaka kutufyatua ili tuwape unene watufyatue na wengine wanaotuaminisha kuwa hawatatufyatua kama hawa wanaowafyatua wao ili watufyatue sisi baada ya kuwapa kura za kutufyatua. Kwa sasa, Chakudema na Chakupindua wako pakanga wakifyatuana ili mwisho mmoja atufyatue na kuendelea kufyatua ulaji wa dezo. Ninachoona…

Read More

Thamani ya kura yako ni sauti yako, nguvu yako

Nakaribia kutimiza umri wa miaka 60. Tangu uchaguzi wa mwaka 1990 hadi uchaguzi wa mwaka huu, nimepiga kura mara saba na uchaguzi ujao utakuwa wa nane. Kwa zaidi ya miaka 40, nimekuwa nikitimiza wajibu wangu wa kidemokrasia kwa kupiga kura. Hata hivyo, katika kipindi chote hicho, sijawahi kufundishwa wala kuelezwa kwa kina kuhusu thamani halisi…

Read More