Vita ya ufungaji kocha Hamdi atoa maagizo kwa Dube, Mzize
Mambo yanaendelea kuwa mambo katika Ligi Kuu Bara, kwani vita zinazidi kuongezeka katika kila eneo kuanzia ile ya ubingwa, kuwania kufuzu mashindano ya kimataifa msimu ujao na ile ya kushuka daraja, lakini imechomoza pia ile ya kuwania kiatu cha ufungaji bora. Clement Mzize kwa sasa ni kinara wa mabao katika Ligi Kuu Bara akifunga 13,…