TRA KUWACHUKULIA HATUA WAINGIZAJI MAFUTA WASIOFUATA UTARATIBU
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema TRA itawachukulia hatua Kali kwa mujibu wa sheria waagizaji na wauzaji wa mafuta ya Petroli na Dizeli wanaokiuka taratibu za nchi kwa lengo la Kukwepa Kodi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam leo Aprili 22 2025 katika kikao cha pamoja na wafanyabiashara wa makampuni mbali…