Mapito ya Komu na tafsiri ya kisiasa

Dar es Salaam. Mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na kada wa zamani wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Anthony Komu, ametangaza kurejea rasmi katika chama chake cha awali, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Akizungumza baada ya kujiunga tena na chama hicho, Komu amesema anaamini mwelekeo wa sasa wa Chadema wa kurudi kwa wananchi ni sahihi na unaotia…

Read More

Watafiti wagundua dawa asilia kuotesha nywele wenye vipara

Arusha. Watafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) wamegundua dawa ya asilia yenye uwezo wa kuzuia nywele kukatika lakini pia kuotesha nywele kwa watu wenye vipara. Pia wamefanikiwa kugundua dawa ya kung’arisha ngozi na kuondoa makunyanzi yanayotokana na uzee. Katika ugunduzi wa kwanza wa dawa ya kuotesha nywele kwa watu wenye vipara, imetokana…

Read More

Mtihani KenGold baada ya kushuka

LICHA ya KenGold kushuka daraja huku ikiwa na michezo mitatu mkononi, lakini bado timu hiyo inakabiliwa na mtihani mmoja wa kuhakikisha haiachi rekodi mbaya zaidi kwenye Ligi Kuu Bara. Kushuka kwa KenGold inafanya timu hiyo kurudia ilichowahi kufanya Mbeya Kwanza (2021-2022), Ihefu na Gwambina (2020-2021), African Lyon (2018–19) na Njombe Mji (2017-2018) ambazo nazo zilipanda…

Read More

Mambo sita yanayoipa thamani kazi ya ufundi

Dar es Salaam. Mkurugenzi na mwanzilishi wa Fundi Smart, Fredy Herbert amesema ili kuiongezea thamani shughuli ya ufundi ni kuhakikisha wanaojihusisha na kazi hiyo wanapewa uelewa wa mambo sita muhimu. Ametaja baadhi ya mambo hayo kuwa ni elimu ya afya, utunzaji wa fedha na maandalizi ya dharura ili mafundi waweze kuona tija ya kazi wanazofanya….

Read More

Fountain Gate na rekodi mpya Ligi Kuu

KICHAPO cha mabao 4-0 ilichopokea Fountain Gate kutoka kwa Yanga, kimeweka rekodi mpya ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu ikiipiku Mashujaa. Fountain Gate imepoteza mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Jumatatu wiki hii kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara. Kwa kipigo hicho, imeifanya Fountain Gate kufungwa na Yanga jumla ya mabao 9-0…

Read More

300 wafanyiwa upasuaji wa macho

Mbeya. Watu 4,000 waliofanyiwa vipimo na madaktari bingwa wa macho wamebainika kuwa na uoni hafifu, kati hao 300 wamefanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya. Katika idadi hiyo watu 3,400 walimepatiwa miwani ya macho bure kulingana na ukubwa wa tatizo, huku watoto wawili wamepewa rufaa ya matibabu zaidi katika Hospitali Rufaa ya Taifa…

Read More

RAIS MWINYI ASHIRIKI SALA YA MAZISHI YA MAREHEMU SANYA

, ………………………… Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Mazishi ya Marehemu Muhammad Ibrahim Sanya yaliofanyika Leo . Rais Dkt,Mwinyi aliwaongoza  Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Maiti  katika Msikiti Jibril Mkunazini , Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 22 Aprili 2025….

Read More

Ripoti ya CAG yabaini upungufu katika usimamizi wa data za elimujiolojia nchini

Ripoti ya ukaguzi wa utendaji kuhusu usimamizi wa data za kielimujiolojia katika sekta ya madini nchini imebaini mapungufu makubwa katika ukusanyaji, uchambuzi, uhifadhi na usambazaji wa taarifa hizo muhimu. Hali hiyo imeelezwa kuwa inahatarisha juhudi za Serikali za kuvutia wawekezaji na kufanikisha malengo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano 2021/22–2025/26. Ripoti hiyo…

Read More