WABUNGE WAITAKA WIZARA YA FEDHA IIPE FEDHA WIZARA YA TAMISEMI ITEKELEZE MAJUKUMU YAKE
****** Na Mwandishi wetu, Dodoma WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa. Akichangia bungeni bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini Mhe Timotheo…