WANANCHI DODOMA WAIPA HEKO BAJETI YA TAMISEMI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye kiasi cha shilingi bilioni 11.7. Akizunguzmia bajaeti hiyo mkazi wa Dodoma Bi Maria…