Makardinali 133 kumchagua Papa mpya

Vatican. Makardinali 133 kuanzia Mei 7, 2025 watashiriki mkutano maalumu kumchagua Papa mpya wa 267 kufuatia kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa na Angella Rwezaula na kuchapishwa na mtandao wa Vatican News, makardinali hao wanatoka nchi 71 katika mabara matano. Hao ni makardinali wa mataifa 17 ya…

Read More

MWANZA MBIONI KUZALISHA VYANZO VIPYA VIKUBWA VYA KODI

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Saidi Mtanda amsema kutokana na miradi mikubwa ya kimkati inayoendelea mkoani humo anatajia vyanzo vipya vya kodi vitazaliwa na kuifanya mwanza kuwa na mchango mkubwa zaidi katika uchumi wa Taifa. Mtanda, amesema hayo leo Aprili 30, 2025 alipokutana na ujumbe wa Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ukiongozwa na…

Read More

Jela miaka 30 kwa kubaka, kumtia mimba mwanafunzi

Simiyu. Mahakama ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, imemuhukumu Jumanne Clement (23), mkazi wa Ngudu Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye miaka 15. Hukumu hiyo imesomwa leo Jumatano Aprili 30, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama…

Read More

BENKI YA CRDB YAPONGEZWA KWA USALAMA KAZINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwa na mifumo bora ya usalama na afya ya wafanyakazi, wateja na jamii kwa ujumla mahala pa kazi. Akizungumza katika kilele cha maonesho ya OSHA yaliyofanyika kitaifa mkoani Singida, Waziri Kikwete amesema: “Serikali ya Rais…

Read More

Wajue makardinali 133 watakaomchagua Papa mpya

Vatican. Makardinali 133 kuanzia Mei 7, 2025 watashiriki mkutano maalumu kumchagua Papa mpya wa 267 kufuatia kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa na Angella Rwezaula na kuchapishwa na mtandao wa Vatican News, makardinali hao wanatoka nchi 71 katika mabara matano. Hao ni makardinali wa mataifa 17 ya…

Read More

WAZIRI CHANA AKUTANA NA SEKRETARIETI YA MKATABA WA LUSAKA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka (Lusaka Agreement) kuhusu Mkutano wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka(LATF) unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Mei 6-8, 2025. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii…

Read More

Pigo la panya na wadudu hutoa changamoto ya hivi karibuni kwa Wagazani waliovuliwa vita-maswala ya ulimwengu

Mwanamke mmoja aliyehamishwa aliiambia Habari za UN Mwandishi wa habari huko Gaza: “Katika kambi zote, tunakabiliwa na wadudu wanaouma, haswa fleas,” na kuongeza kuwa “watoto wetu wanaugua maumivu makali kutokana na kuwasha na kuuma. “Tulijaribu kutibu kwa njia rahisi, lakini dawa sahihi hazipatikani katika kituo cha matibabu.” Wakati wadudu wanaouma wanaopatikana katika Gaza sio mara…

Read More

SERIKALI KUHAKIKISHA BARABARA ZOTE ZA HALMASHAURI ZINAFUNGULIWA

Serikali inaendelea kuhakikisha kwamba barabara ambazo zipo katika kila halmashauri ya wilaya zinafunguliwa ili kurahisisha usafiri na usafirishaji katika maeneo ya wananchi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Mkoa wa Singida Mhandisi Ibrahimu Kibassa kwenye Maonesho ya Usalama na Afya Mahali Pa Kazi katika viwanja vya Mandewa Mkoani Singida. Mhandisi Kibassa alisema katika mwaka wa…

Read More