Hassan Waziri afichua kilichomplekea ulingoni

Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo imefanikiwa kuzalisha vipaji vya mchezo wa ngumi. Mkoa huo ndio anapotokea bondia chipukizi wa ngumi za kulipwa, Hassan Waziri ambaye yupo chini ya menejimenti ya Mitra Sport Promotion iliyoandaa pambano la Ngumi Kitaa litakalopigwa Aprili 26, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem. Waziri ana rekodi…

Read More

Serikali: Abiria wengi hawajui haki zao

Dodoma. Serikali imekiri kuwa, abiria wengi wanaotumia usafiri wa vyombo vya moto, hawajui haki zao. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumanne Aprili 22, 2025 na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ambaye pia ametoa onyo kwa wasimamizi wa mizigo kwa treni ya mwendo kasi akiwataka kuwa makini ili kuepusha malalamiko ya abiria. Kihenzile alikuwa akijibu…

Read More

Wanawake hawa hupata mimba wakati wa hedhi pekee

Dar es Salaam. Kama ulidhani siku za kubeba ujauzito kwa mwanamke ni kuanzia siku ya 12 hadi ya 15, huku ukiilenga siku ya 14 kwamba ni lazima atapata ujauzito, basi umekosea. Endapo unatafuta mimba kwa muda mrefu bila mafanikio au unataka kushika mimba haraka, ni muhimu kufuatilia kwa makini mzunguko wako wa hedhi kujua zipi…

Read More

Ufahamu wosia wa Papa Francis, alichosema kuhusu kaburi lake

Vatican. Wakati Wakristo wakiendelea kuomboleza kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis. Wosia aliouacha umewekwa wazi ambapo alisisitiza mahali pa kuzikwa, aina ya mazishi na anayetoa gharama za mazishi hayo. Papa Francis alifariki Jumatatu ya Aprili 21, 2025, asubuhi akiwa na umri wa miaka 88. Katika wosia huo, Papa Francis ameeleza kwamba, lazima…

Read More

Srelio yastukia jambo, JKT ikijibu mapigo

BAADA ya uongozi wa Chama cha Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BD) kutangaza kwamba ligi mkoani humo (BDL) itachezwa katika mzunguko mmoja timu ya Srelio imeshtukia jambo na sasa imepanga kuwashusha nyota wake mapema jijini humo ili kujiandaa kwa ajili ya mashindano hayo. Kocha wa timu hiyo, Miyasi Nyamoko amesema klabu yake imejipanga kushusha…

Read More

SAMIA AWARDS SASA KUFANYIKA MEI

……………. Hafla ya utoaji wa Tuzo za Uandishi wa Habari kwa Maendeleo zinazojulikana kama Samia Kalamu Awards 2025 sasa itafanyika jijini Dar es Salaam tarehe 5 Mei 2025, tofauti na ratiba ya awali iliyopangwa tukio hilo kufanyika tarehe 29 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Mabele, Mabeyo Complex, jijini Dodoma. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa vyombo vya…

Read More

 Doa la CAG utoaji elimu bila malipo

Dar es Salaam. Ripoti ya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imebainisha kuwa jumla ya Sh1.25 bilioni za kugharimia elimu bila malipo, hazikufika kwa mamlaka husika. Katika ripoti hiyo iliyokabidhiwa kwa Bunge wiki iliyopita, jumla ya mamlaka 15 za serikali za mitaa hazikufikishiwa fedha kamili, hatua ambayo ripoti imetaja kuwa ina…

Read More