Kikao cha Taoussi, Blanco chaanza kujibu
KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi, amefichua kwamba kikao alichofanya na mshambuliaji Jhonier Blanco juu ya kutathimini kiwango chake kisha kuanza kufanya mazoezi binafsi, kimeanza kuleta matumaini huku akikiri kuwa amechelewa kufanya hivyo. Blanco huu ni msimu wake wa kwanza akiitumikia Azam aliyojiunga nayo akitokea Rionegro Aguila ya kwao Colombia. Hadi sasa amefunga mabao matatu…