Mawaziri wanne kubanwa bungeni | Mwananchi

Dodoma. Hotuba za bajeti za Wizara ya Utumishi na Utawala bora, Mipango na uwekezaji, Muungano na Mazingira zinangojewa kutokana na kuhusisha maeneo nyeti ikiwamo ajira, uwekezaji pamoja na kilio cha kupanda kwa madaraja na malipo ya wastaafu. Kabla ya hizo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed…

Read More

Askofu Sangu alivyomzungumzia Papa Francis

Shinyanga. Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Msinyori Liberatus Sangu ameeleza kwa masikitiko namna anavyomuenzi na kumkumbuka Papa Francis. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2025 katika Kanisa Kuu Parokia ya Mama mwenye huruma Ngokolo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga amesema kuwa, “Papa Francis ndiye alinifanya kuwa Msinyori (kufanya…

Read More

Watatu wafia mgodini Shinyanga | Mwananchi

Ushetu. Wachimbaji watatu wa  dhahabu katika Kijiji cha Mwabomba, Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi kwenye mgodi wa namba sita walilokuwa wakichimba. Wanaotajwa kupoteza maisha katika tukio hilo ni Lotu Charles (31), Maneno Charles na Yakobo Tarima. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Janeth Magomi amesema tukio hilo limetokea Aprili…

Read More

Msikie Yona Amos kuhusu ‘clean sheet’

KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos amesema ni ngumu kwake kutaja anahitaji kumaliza na clean sheet ngapi msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na presha ya mechi zilizosalia. Pamba Jiji imebakiwa na michezo minne dhidi ya Simba iliyopo nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bar, dhidi ya KenGold inayoburuzwa mkiani, JKT Tanzania…

Read More

Rekodi 3 za ushindi Yanga v Fountain Gate

MABINGWA watetezi, Yanga wameendelea kunyatia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate, katika mchezo uliopigwa Jumatatu hii kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara huku ushindi huo uliofanya Yanga kufikisha pointi 70, umeweka rekodi tatu ndani ya kikosi hicho. Rekodi ya kwanza inamuhusu…

Read More

Mkuu wa UN anamwondoa Papa Francis kama 'sauti ya kupita kwa amani' – maswala ya ulimwengu

Jorge Mario Bergoglio kutoka Argentina alichaguliwa kuwa upapa mnamo Machi 2013. Alikuwa kuhani wa kwanza kutoka mkoa wa Amerika kuongoza Kanisa Katoliki ulimwenguni na sauti kali kwa haki ya kijamii ulimwenguni. Bwana Guterres alielezea pontiff kama mjumbe wa tumaini, unyenyekevu na ubinadamu. Urithi na msukumo “Papa Francis alikuwa sauti ya kupita kwa amani, hadhi ya…

Read More

Sababu Papa Francis kuzikwa tofauti na wenzake 91

Kwa mujibu wa taratibu za Kanisa Katoliki mazishi ya Papa hufanyika siku ya 4 hadi 6 baada ya kifo chake. Sehemu kubwa ya maziko ya papa huwa anayapanga mwenyewe na kumwachia Kardinali Carmelengo jukumu la kutekeleza. Baada ya kufa mwili hukabidhiwa familia ya Signoracci kwa ajili ya kuandaa mwili kwa ajili ya maziko. Mwili wa…

Read More

DC TEMEKE: ELIMU YA UONGOZI NI MUHIMU KUTATUA MIGOGORO

Kaimu Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere John Baytani Mwakilishi  wa wahitimu wa mafunzo hayo ya vijana  Father  John  Mtwale  kutoka  Jimbo Katoliki  la Mwanza Na Khadija Kalili ,Kibaha MKUU wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amewataka Wakuu wa Idara na Taasisi mbalimbali nchini kutumia Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere…

Read More

Waliokatiza masomo sababu ya ujauzito waimarishwa kiuchumi

Bahi. Ndoto nyingi za wasichana hupotea pale wanapokatisha masomo au wanapobebeshwa mimba katika umri mdogo. Wasichana hao hulazimika kuwa kinamama katika umri mdogo huku waliowabebesha mimba wakiwakimbia. Kwa kuliona hilo wadau mbalimbali wamekuwa wakijitokeza kuwasaidia wasichana hao ili waweze kufikia ndoto zao. Mafunzo ya ujasiriamali, elimu ya uchumi na uzazi wa mpango yaliyotolewa kwa wasichana…

Read More

MACHINGA NA BODABODA DAR WAWAONYA CHADEMA

   Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali jijini Dar es Salaam, umetangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa. Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, ametoa tamko…

Read More