‘Uvuvi wa kutumia tanga na mti, unaharibu matumbawe’
Unguja. Wakati wavuvi wadogo wakitakiwa kuachana na uvuvi haramu, kuhifadhi mazingira ya bahari, wamesema uvuaji wa kutumia tanga na mti unachangia kuathiri matumbawe chini ya bahari, hivyo kuiomba Serikali kuwapatia zana za kisasa kuimarisha uvuvi huo. Hayo yamejiri wakati wa mafunzo ya uongozi kwa Kamati za Uvuvi ya Matemwe ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kuhusu matumizi…