Dk Nchimbi awataka waimbaji wa Injili kuwakumbusha wanasiasa kuomba msamaha

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa wasanii wa Injili nchini kuwakumbusha wanasiasa wasijisahau katika matendo yao na waombe  msamaha wakikosea hususani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Dk Nchimbi amesema wanasiasa wapokuwa wamesimama kwenye kipaza sauti huwa wanajisahau, hivyo hujutia baada ya…

Read More

Azizi KI agonganisha Waarabu wa Morocco

YANGA imekaa mkao wa kuvuna mamilioni ya kufuru kupitia kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz KI lakini huko Uarabuni kuna vita kubwa inapigwa kati ya klabu mbili. Yanga inapiga hesabu za kumuuza Aziz KI mwisho wa msimu huu, baada ya ofa kubwa tatu lakini mbili kati ya hizo ndio zinaonyesha mwanga mkubwa. Klabu tatu zinazomtaka Aziz KI…

Read More

Kilichoikwamisha Simba Zanzibar hiki hapa

Unakumbuka mwaka 1993 wakati Simba inacheza fainali ya Kombe la CAF ambalo baadaye 2004 likaunganishwa na Kombe la Washindi kisha kuzaliwa Kombe la Shirikisho Afrika? Basi kwa kukukumbusha tu ni kwamba kabla ya mechi ya nusu fainali dhidi ya Atlético Sport Aviação, hali ilikuwa kama hivi ambavyo Jumapili hii Simba wanakwenda kucheza dhidi ya Stellenbosch….

Read More

Chama la Yusuph Athuman lina historia

WIKI iliyopita Mtanzania, Yusuph Athuman alitambulishwa kwenye kikosi cha timu ya Yangon United inayoshiriki Ligi Kuu Asia. Chama la nyota huyo wa zamani wa Yanga halina muda mrefu kwenye ligi hiyo likianzishwa mwaka 2007 wakati huo ikiitwa Air Bagan. Miaka miwili baadaye timu hiyo ikabadilishwa jina kutoka Air Bagan na kuitwa Yangon United baada ya…

Read More

CUF nao wajitosa kuwakaribisha wanachama wa Chadema

Dar es Salaam. Imebaki kwa watia nia wa Chadema, kuamua ni jukwaa gani la kisiasa wanaweza kulitumia ili kutimiza malengo yao ya kugombea nafasi za ubunge, baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kuungana na vyama vingine kuwakaribisha. Mbali na watia nia ambao walikuwa wamedhamiria kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia Chadema na kulazimika kuachana na…

Read More