Kigoma yaanza kuibua vipaji | Mwanaspoti
CHAMA cha Kikapu Mkoa wa Kigoma kimetamba kuwa na viwanja wanaochipukia katika mchezo huo ambao ni toleo jipya linalotarajiwa kuwa kutisha siku za usoni. Katibu wa chama hicho, AQ Anasi ameliambia Mwanaspoti kuwa mwamko umekuwa mkubwa kwa vijana wanaojifunza kucheza kikapu. Anasi ambaye pia ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya vijana umri wa…