CAG: Vituo vingi vya mabasi vina uhaba wa vyoo, Taboa yaunga mkono
Dar es Salaam. Ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), umebaini vituo vingi vya mabasi nchini vinakabiliwa na changamoto za miundombinu ikiwamo uhaba wa vyoo, hali inayosababisha mazingira ya maeneo hayo kutokuwa rafiki kwa watumiaji. Changamoto zingine ni ukosefu wa sehemu za abiria kujikinga jua na mvua, barabara zisizo na vibamba…