Hizi ndizo sifa wanazotaka wanaume kwa wanawake
Katika uhusiano wa mapenzi, kuna sifa zinazomfanya mwanamke awe wa kipekee na kuvutia mwanaume. Ingawa kila mwanaume ana vigezo vyake, kuna tabia za kimsingi ambazo kwa ujumla huongeza mvuto wa mwanamke na kuimarisha uhusiano wake na mpenzi wake. Tuone baadhi ya sifa hizo. Mwanaume huvutiwa na mwanamke anayetoa mazingira ya utulivu na amani. Mwanamke asiye…